SERIKALI YA AWAMU YA NANE (8) IMEIMARISHA MIUNDOMBINU YA BIASHARA, AFYA, ELIMU , MAJI SAFI NA SALAMA, MAWASILIANO NA UCHUKUZI ILI KUENDANA NA DHAMIRA YA MPINDUZI MATUKUFU YA MWAKA 1964 YA KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO, SAMBAMBA NA KUIMARISHWA KWA DHANA YA UCHUMI WA BULUU AMBAYO NDIO AJENDA YA KITAIFA
Akifungua kongamano la kuadhimisha miaka 60 ya mapinduzi ya Zanzibar katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege jijini Zanzibar Mhe Hemed amesema malengo ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalilenga kuondoa ukoloni na kuimarisha uchumi na kuwaletea maendeleo wananchi hivyo Serikali inandelea kuimarisha miundombinu mbali mbali ambapo kwa upande wa Afya imefanikiwa kujenga hospitali kumi(10) za Wilaya na Hospital moja(1) ya Mkoa iliyoko Lumumba pamoja na kujenga na kukarabati vituo vya Afya vya msingi na ujenzi wa nyumba za mafaktari kwa Unguja na Pemba.
Amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefanikiwa kujenga shule sitini na nne(64)ambapo shule 34 ni za gorofa ikiwa lengo la Serikali ni kufikia azma ya wanafunzi kwenda shule kwa mkondo mmoja (1) kwa idadi ya wanafuzi arobaini na tano (45) kwa kila darasa.
Aidha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amesema Serikali imeimarisha mazingira bora kwa kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo kwa kujenga masoko makubwa na yakisasa zyakiwemo soko la Mwanakwerekwe, Jumbi na Chuini kwa lengo la kuwawekea wafanya biasha mazingira mazuri wafanya biashara pamoja na kuweka utaratibu mzuri wa kuwapatia mikopo wajasiriamali ili waweze kujiendeleza kiuchumi.
Sambamba na hayo Mhe. Hemed amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha inayafanyia kazi mapendekezo na maazimio yatakayotolewa katika kongamano hilo ambayo yatasaidia katika kufikia maendeleo ya nchi pamoja na kuwataka wananchi kuendelea kuwa wasikivu na watulivu kwa kuipa ushirikiano Serikali yao inayoendelea kutekeleza mipango mizuri ya maendeleo.
Nae Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita amesema malengo ya kufanyika kwa Mapinduzi Matukufu ya Mwaka 1964 ni kuimairisha uchumi wa Wazanzibari wazawa ambao wengi wao ni wakwezi na wakulima, kuimarisha amani na uzalendo kwa wananchi ambapo maono na falsafa zao zinaendelea kudumu na kuenziwa kwa maslahi ya Taifa .
Aidha amesema kuwa kufanyika kwa kongamano hilo kunatoa fursa kwa wale wote waliozaliwa baada ya mapinduzi kufahamu dhana nzima ya kufanyika kwa Mapinduzi ili kuweza kujua umuhimu wake na namna ya kuyalinda na kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Nao watoa mada katika kongamano hilo wamesema kuwa kufanyika kwa Mapinduzi Matukufu ya mwaka 1964 yalikuwa na lengo la kumkomboa Mzanzibari na mazila makubwa na utumwa waliofanyiwa na wakoloni kwa lengo la kujitawala na kufanya maamuzi yao wemyewe .
Wamesema kuwa mapinduzi ndio yaliyowajenga viongozi na wananchi kuwa wazalendo na nchi yao na kuwepo kwa Maendeleo, kuimarika kwa Amani na Utulivu, Upondo na mshikamano mambo ambayo hadi sasa yanazidi kuimarishwa na Serikali ya awamu ya nane (8) na kufikia ile dhamira ya waasisi wa Mapinduzi yaliyoongozwa na Rais wa kwanza wa Zanzibar marehemu Sheh Abeid Amani Karume
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
12-11-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
12-11-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
12-11-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
12-11-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
12-11-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
12-11-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
12-11-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
12-11-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
12-11-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
12-11-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
12-11-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
12-11-2025
TAARIFA KWA UMMA
12-11-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
12-11-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
12-11-2025
MONGELLA AONGOZA MAZISHI YA KADA WA CCM JIJINI MWANZA
12-11-2025
ASIYETII SHERIA, KATIBA NA KUWA TAYARI KUUA KWA MASLAHI BINAFSI HUO NI UGAIDI’
12-11-2025
πππ π¬ππ¦ππ¦ππ§πππ πͺπππ’π πππ ππ¨πππππππͺπ ππͺπ ππ¨πππ‘πππ§ππ π¨πͺπππ’, π¨πππππ‘ππ’ π‘π π¨πππππππ¨, π¬ππππ ππ π πππ¨π‘ππ - πππ. πππ©π¨
12-11-2025
KAENI KIMYA KAMA HAMJUI NCHI ILIKOTOKA - WASIRA
12-11-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
12-11-2025