CCM YASAMBAZA VIONGOZI NA MAKADA WAANDAMIZI NCHI NZIMA
Ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Katibu Mkuu Balozi Nchimbi kuongoza kampeni hizo
Yaonesha umuhimu wa uchaguzi na dhamira ya kufikia wananchi moja kwa moja
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, anatarajiwa kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM Mkoa wa Mwanza tarehe 20 Novemba 2024, akiongoza viongozi na makada wa CCM waliotumwa maeneo mbalimbali nchini kwa kazi hiyo.
Balozi Nchimbi, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Mwanza, atazindua kampeni hizo katika mkutano wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa Furahisha, Nyamagana, jijini Mwanza.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, ambao ni walezi wa mikoa mingine, pamoja na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), wamepewa jukumu la kuzindua kampeni hizo katika mikoa yote 26 ya Tanzania Bara kwa tarehe hiyo hiyo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Ndugu John Mongella, atazindua kampeni Mkoa wa Mbeya, huku Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Mohamed Dimwa, akizindua kampeni Mkoa wa Katavi.
Viongozi wengine wa CCM waliopangiwa kuzindua kampeni ni pamoja na:
- *Ndugu Issa Haji Usi Gavu*, Katibu wa NEC - Oganaizesheni, mkoani Geita.
- *Ndugu Amos Gabriel Makalla*, Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo, mkoani Dar es Salaam.
- *Ndugu Rabia Himid Abdalla*, Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, mkoani Kilimanjaro.
- *Mhe. Dkt. Isdory Phillip Mpango*, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkoani Dodoma.
- *Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa*, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkoani Kigoma.
- *Mhe. Hemed Abdulla Suleiman*, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, mkoani Tanga.
- *Mhe. Zuber Ali Maulidi*, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, mkoani Singida.
Viongozi wengine ni pamoja na:
- *Komredi Mary Pius Chatanda*, Mwenyekiti wa UWT Taifa, mkoani Arusha.
- *Ndugu Mizengo Kayanza Pinda*, Waziri Mkuu Mstaafu, mkoani Mtwara.
- *Ndugu Halima Mamuya*, mkoani Njombe.
- *Ndugu Nasir Ally Juma*, mkoani Tabora.
- *Ndugu Mohamed Aboud Mohamed*, mkoani Iringa.
- *Komredi Mohamed Ali Mohamed Kawaida*, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, mkoani Morogoro.
- *Ndugu Fadhili Maganya*, Mwenyekiti wa Wazazi Taifa, mkoani Simiyu.
- *Dkt. Dotto Mashaka Biteko*, Naibu Waziri Mkuu, mkoani Mara.
- *Ndugu Hussen Bashe*, mkoani Shinyanga.
- *Ndugu Livingstone Lusinde*, mkoani Manyara.
- *Ndugu Ally Hapi*, mkoani Kagera.
- *Ndugu Nape Nnauye*, mkoani Rukwa.
- *Ndugu Zainab Shomari*, mkoani Lindi.
- *Ndugu Salim Faraji Abri (Asasi)*, mkoani Ruvuma.
- β Ndugu Jokate Mwengelo, mkoani Pwani.
- β Richard Kasesela*, Mjumbe wa NEC, mkoani Songwe.
Mkakati huu wa kuzindua kampeni kwa mtindo wa ushirikiano wa karibu kati ya viongozi wakuu na wanachama unaonesha jinsi CCM inavyothamini uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Pia, unadhihirisha dhamira ya kupata ushindi mkubwa dhidi ya vyama vya upinzani, ambavyo hadi sasa vimeshindwa kusimamisha wagombea wa kutosha kushindana kikamilifu
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025