“ Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika
uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.”
Ndugu Samia Suluhu Hassan ,
Oktoba 2021 - Rufiji, Pwani
“ Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT
imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na
kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.”
Mwalimu J.k.Nyerere ,
1990 - Dodoma
“ Mimi nang'atuka lakini
nitaendelea kuamini kuwa
bila CCM mathubuti nchi itayumba.”
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ,
2019 - Njombe
“ Viongozi wenzangu tutatue
matatizo ya wananchi tunaowaongoza, ni lazima tusimamie kazi
tulizojipa,ninataka mambo yatendeke haraka. ”
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ,
2019 - Njombe
“ Haiwezekani taifa hili likawa la majizi tu halafu wananchi wanahangaika,
ni
lazima mtu anapopata kazi, thamani ya pesa katika mradi ionekane. ”
Mwalimu J.k.Nyerere ,
Juni 1991 - Rio De Janeiro
“ Demokrasi sio chupa ya Coca-Cola ambayo unaweza kuiagiza. Demokrasi
inapaswa kuendelezwa kulingana
na nchi yenyewe. ”
Mwalimu J.k.Nyerere ,
Machi 1997 - Accra, Ghana
“ Umoja hautatufanya kuwa tajiri, lakini unaweza kuwezesha kuiepusha
Afrika na
watu wa Afrika kutoheshimiwa na kudhalilishwa. ”
Mwalimu J.k.Nyerere ,
Mwalimu J.k.Nyerere ,Tanzania, Januari 1968
“ Hakuna taifa lenye haki ya kufanya maamuzi kwa ajili ya taifa jingine ;
hakuna watu kwa ajili ya watu wengine. ”