Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝗞𝗜𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗢 𝗖𝗛𝗔 𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗜𝗚𝗜𝗥𝗢 𝗖𝗛𝗔𝗣𝗢𝗞𝗘𝗟𝗘𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗪𝗘 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠

alternative

𝙉𝙞 𝙢𝙬𝙖𝙣𝙯𝙤 𝙬𝙖 𝙯𝙞𝙖𝙧𝙖 𝙮𝙖𝙠𝙚 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙠𝙪𝙩𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙯𝙪𝙣𝙜𝙪𝙢𝙯𝙖 𝙣𝙖 𝙈𝙖𝙗𝙖𝙡𝙤𝙯𝙞 𝙬𝙖 𝙢𝙖𝙨𝙝𝙞𝙣𝙖. Kutokea katika Ukumbi wa PTA wilayani Temeke Jijini Dar es salaam, tayari Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. 𝗔𝘀𝗵𝗮-𝗿𝗼𝘀𝗲 𝗠𝗶𝗴𝗶𝗿𝗼 amewasili na kupokelewa kwa shangwe la wana-CCM na heshima ya kuveshwa skafu kutoka kwa vijana wa itifaki wa UVCCM, leo tarehe 07 Januari 2026. Katika kuanza kwa ziara hii, leo hii wamejumuishwa Mabalozi wa mashina kutoka Wilaya za Temeke na Kigamboni.

alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine