MAKALLA: THE ROYAL TOUR IMEKUZA UTALII KASKAZINI
BABATI: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi an Mafunzo wa chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Rais Samia Suluhu Hassan amefanya jambo kubwa katika mikoa ya Kaskazini kwa kukuza utalii kupitia filamu ya The Royal tour.
Amesema kupitia filamu hiyo sekta ya utalii imeimarika kwani imesaidia kuutangaza utalii uliopo nchini katika mataifa mbalimbali ambayo imechangia kuongeza mapato katika sekta hiyo na wananchi wa Mkoa wa Manyara ni moja ya wanufaika wake.
Amezungumza hayo leo Juni 4,2025 wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Mollel Papaa katika Wilaya ya Babati Mkoani Manyara akianza ziara yake ya siku tisa katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
Makalla alisema watalii wanapoingia kwa wingi nchini mapato yanaongezeka kutokana na kuongezeka kwa mzunguko wa fedha na yote hayo ni kutokana na ubunifu wa Rais Samia wa kufikiria kuitangaza Tanzania kupitia Filamu hiyo ambayo wananufaika kwa sasa.
“Kikubwa kilichofanyika katika mikoa ya kaskazini ni kukuza utalii kupitia ‘The Royal tour’ imefanya kazi kubwa katika mikoa ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro kwani mapato ya utalii yameongezeka na nyie Manyara mnafaidiaka nao kwani mpo karibu na Karatu, Tarangire na Mbuga ya Manyara,” alisema Makalla
Makalla alisema Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, ameeleza kwa kirefu juu ya serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia akihusisha historia ya Tanzania tangu kuasisiwa kwake na inapoelekea ambayo maingi wake unawekwa na Rais Samia
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025