SWAHIBA WA NYERERE APONGEZA UONGOZI WA SAMIA, AKITIMIZA MIAKA 99
Mwanasiasa mkongwe nchini, Alhadji Mustapha Songambele amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliongoza vyema taifa.
Mzee Songambele ametoa pongezi hizo mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, leo Jumamosi, Mei 25, 2024.
Balozi Nchimbi alikwenda nyumbani kwa Mzee Songambele Mwananyamala jijini Dar es Salaam kumfikishia salam za pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia kwa kuadhimisha miaka 99 ya kuzaliwa kwake.
“Mfikishie salam zangu mwambie anaongoza nchi vizuri sana…nchi imetulia…nchi iko baridi kabisa hata chama nacho kimetulia mambo yanakwenda vizuri kabisa,” amesema Mzee Songambele.
Ameongeza kusema kuwa iwapo mambo yangekuwa hayaendi vizuri, basi pamoja na umri wake mkubwa, angeenda makao makuu ya chama kusema.
Kwa upande wake, Balozi Nchimbi amesema Mzee Songambele alifanya kazi kubwa ya kujenga Chama na Serikali tangu enzi za TANU na baadae CCM.
Mzee Songambele alizaliwa mwaka Mei 25,1925, mkoani Ruvuma kabla ya kuhamia Magomeni, jijini Dar es Salaam, ambapo walikuwa miongoni kwa watu waliompokea Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere jijini humo.
Alikuwa rafiki mkubwa wa Mwalimu Nyerere na ndiye aliyemtafutia kiwanja Magomeni Mikumi ambako kuna nyumba ya Mwalimu, hivi sasa ikiwa ni Makumbusho ya Taifa.
Aliwahi kushika nafasi kadhaa ndani ya Chama na Serikali, ikiwa ni pamoja na ukuu wa mkoa.
INJINI YA CHAMA CHA MAPINDUZI IPO MASHINANI; DKT.MIGIRO
19-01-2026
DK.MIGIRO:CCM INAJENGWA KUANZIA NGAZI YA MASHINA SIO MAJUKWAANI.
19-01-2026
πππ¦πππ‘ππ’ πππ πππ§. π ππππ₯π’ ππππ£π’πππππͺπ ππͺπ π¦πππ‘ππͺπ πππ₯ ππ¦ π¦πππππ
19-01-2026
NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA AMWAKILISHA KATIBU MKUU WA CCM KWENYE MSIBA WA MBUNGE WA JIMBO LA PERAMIHO
19-01-2026
π©ππππ‘π π§π¨ππππ‘ππ ππ ππ‘π π¬π π‘πππ π¬ππ§π¨ - π πͺππ‘πππ πππ‘ππ‘π
19-01-2026
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
19-01-2026
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
19-01-2026
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
19-01-2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
19-01-2026
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
19-01-2026
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
19-01-2026
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
19-01-2026
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
19-01-2026
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
19-01-2026
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
19-01-2026
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
19-01-2026
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
19-01-2026
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
19-01-2026
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
19-01-2026
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
19-01-2026