MAKALLA: MIAKA MITANO YA RAIS SAMIA MAENDELEO YAONEKANA KARATU
•Ataja ujenzi wa hospitali ya Wilaya, miradi ya maji na ongezeko la barabara za lami.
KARATU: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema upatikanaji wa maji Karatu Mjini ni asilimia 79, tofauti na kipindi cha miaka 25 ya nyuma ambayo maendeleo ya kusuasua jimbo hilo liliposhikiliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Amesema kutokana na hayo yanafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuingia katika rekodi ya viongozi wanaoongoza kupeleka fedha nyingi za miradi kuliko awamu nyingine yoyote tena katika kipindi cha miaka mitano.
Makalla ameeleza hayo leo Juni 5 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, akiendelea na ziara yake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
“Kupitia Mkutano huu namuomba Waziri wa Maji, Juma Aweso atakuja hapa Karatu kushughulikia jambo hilo kule kwenye bwawa watakuja wanavifaa vya kutosha na uzuri tunaye waziri wa maji Kijana mwepesi na Msikivu baada ya hotuba yangu atakuja Karatu,” amesema Makalla.
Amesisitiza kuwa Aweso atakapofika katika Wilaya hiyo atashughulika na hayo mambo mawili la kwanza likiwa ni bwawa na lingine kutatua changamoto iliyopo katika kuruhusu maji ili kusaidia wananchi wa eneo hilo
Katika hatua nyingine Makalla amesema Chadema walikaa katika jimbo hilo kwa kipindi cha miaka 25 na hawakuweza kuweka hospitali ya Wilaya lakini katika kipindi cha miaka michache ya uongozi wa Rais Samia Karatu wamepata hospitali ya Wilaya.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025