RAIS DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMESHUKURU USHIRIKIANO WA KARIBU ULIOPO BAINA YA TANZANIA NA BENKI YA DUNIA (WB),UMOJA WA ULAYA (EU) NA USHIRIKIANO WA DIPLOMASIA ULIOPO BAINA YA AUSTRALIA NA TANZANIA.
Dk. Mwinyi alitoa shukurani hizo Ikulu, Zanzibar alipozungumza na wageni hao walioambatana na ujumbe waliofuatana nao kwa nyakati tofauti. Alisema, taasisi hizo zinamchango mkubwa wa maendeleo ya Zanzibar hasa kukuza sekta ya Afya nchini, Elimu, Utalii na Uchumi wa Buluu.
Akizungumza na Balozi wa Australia nchini Tanzania, Mhe. Luke William aliefika kumuaga, Rais Dk. Mwinyi alishukuru ushirikino mkubwa uliopo baina ya Tanzanzia na nchi hiyo na kumueleza juu ya Zanzibar inavyonufaika na sekta ya uvuvi na mwani uliowaneemesha kinamama wengi na vijana kwani asilimia 90 ya wakulima wake ni kina mama.
Pia, Rais Dk. Mwinyi alimueleza balozi huyo azma ya kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya Austalia na Zanzibar hasa kwenye masuala ya uwekezaji, biashara na utalii. Vile vile Rais Dk. Mwinyi alizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa masuala ya Bahari na Uvuvi wa Umoja wa Ulaya (EU), Bi. Charlina Vitcheva alimueleza kuwa Zanzibar ni kisiwa kilichozungukwa na bahari ya Hindi, kinajivunia fursa nyingi zinazotokana na rasilimali bahari kwa kujikita zaidi kwenye uchumi wa Buluu na Utalii.
Alimueleza Mkurugenzi huyo, Uchumii wa Buluu ni sekta muhimu kwa uchumi wa Zanzibar na kuongeza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, inafanya kila iwezavyo kunufaika na fursa zinazotokana na sekta hiyo kwa ajili ya uchumi na watu wake. Aidha, alimueleza mgeni huyo kuimarisha zaidi ushirikiano wao kwenye sekta hiyo, ili kujenga uweledi kwani idadi kubwa ya Wazanzibari wamejikita zaidi na masuala ya uvuvi na ajira zinazotona na bahari.
Rais dk. Mwinyi alisema, Serikali pia inawaungamkono wavuvi na wakulima wa mwani nchini kwani imewawezesha kwa mitaji na vifaa pamoja na kuiungamkono sekta ya Utalii. Kwa upande wao wageni hao walemueleza Rais Dk. Mwinyi juu ya kuendelea kuiungamkono Zanzibar na Tanzania kwa ujumla hasa kwenye masuala ya kuendeleza ushirikiano wao wa diplomasia na kuona fusra za uwekezaji na uchumi zilizomo Tanzanzia vinanufaisha pande zote na ushirikiano wao.
🔰𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄𝐍𝐈 𝐒𝐀𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐍𝐂𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐀𝐍𝐉𝐀𝐑𝐎!
31-05-2026
𝐒𝐇𝐔𝐋𝐄 𝐘𝐀 𝐌𝐒𝐈𝐍𝐆𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐒𝐀𝐃𝐀𝐋𝐀 𝐘𝐀𝐎𝐍𝐃𝐎𝐀 𝐊𝐄𝐑𝐎 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐓𝐄𝐌𝐁𝐄𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐎𝐌𝐄𝐓𝐀 𝟏𝟐 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐈
31-05-2026
𝐌𝐖𝐄𝐍𝐄𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐀𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐙𝐈𝐀𝐑𝐀 𝐖𝐈𝐋𝐀𝐘𝐀𝐍𝐈 𝐇𝐀𝐈, 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐀𝐍𝐉𝐀𝐑𝐎
31-05-2026
𝐌𝐖𝐄𝐍𝐄𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐀𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐙𝐈𝐀𝐑𝐀 𝐖𝐈𝐋𝐀𝐘𝐀 𝐘𝐀 𝐇𝐀𝐈 𝐌𝐊𝐎𝐀 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐀𝐍𝐉𝐀𝐑𝐎
31-05-2026
𝐍𝐈 𝐌𝐔𝐃𝐀 𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐇𝐀𝐈-𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐀𝐍𝐉𝐀𝐑𝐎 𝐒𝐀𝐒𝐀
31-05-2026
𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐌𝐏𝐀 𝐁𝐀𝐉𝐀𝐉𝐈 𝐌𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐒𝐈𝐇𝐀 𝐌𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐔𝐋𝐄𝐌𝐀𝐕𝐔 𝐖𝐀 𝐌𝐈𝐆𝐔𝐔
31-05-2026
MAWENZI YAVUNJA REKODI: MITUNGI 3,313 YA OKSIJENI YAZALISHWA KWA MIEZI 6, ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 126 ZAOKOLEWA!
31-05-2026
MAFURIKO YA WANANCHI WA SIHA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA HADHARA
31-05-2026
MAPOKEZI YA KATIBU MWENEZI WA CCM NDUGU KENANI L KIHONGOSI MKOANI KILIMANJARO
31-05-2026
🔰 𝐊𝐈𝐇𝐎𝐍𝐆𝐎𝐒𝐈 𝐀𝐖𝐀𝐒𝐈𝐋𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐒𝐇𝐈𝐍𝐃𝐎 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐀𝐍𝐉𝐀𝐑𝐎
31-05-2026
CCM INAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA EID AL ADHA
31-05-2026
🔰VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA VYAIMARISHA MSHIKAMANO, DKT. DIMWA AHITIMISHA MAFUNZO MAALUM
31-05-2026
KATIBU WA NEC, ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO CCM TAIFA NDUGU KENANI KIHONGOSI AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ISIMANI EMMANUELA KAGANDA MTATIFIKOLO
31-05-2026
MUENDELEZO WA MAFUNZO YA VIONGOZI KATIKA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE – KIBAHA
31-05-2026
SIKU YA KWANZA YA MAFUNZO KATIKA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE LEADERSHIP SCHOOL.
31-05-2026
UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VYAMA SITA RAFIKI VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA
31-05-2026
MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CPC, KOMREDI LIU HAIXING IKULU DAR ES SALAAM
31-05-2026
KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM
31-05-2026
CCM NA FRELIMO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
31-05-2026
UZINDUZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA
31-05-2026