Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


CCM INAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA EID AL ADHA

alternative

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiongozwa na Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kinawatakia waumini wote wa dini ya Kiislamu pamoja na Watanzania wote kwa ujumla heri ya Sikukuu ya Eid Al Adha. Tusherehekee sikukuu hii kwa kuendelea kudumisha amani, mshikamano na upendo katika nchi yetu. #KaziNaUtuTunasongaMbele Eid Mubarak 🌙

alternative
Habari Nyingine