Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐌𝐖𝐄𝐍𝐄𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐀𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐙𝐈𝐀𝐑𝐀 𝐖𝐈𝐋𝐀𝐘𝐀𝐍𝐈 𝐇𝐀𝐈, 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐀𝐍𝐉𝐀𝐑𝐎

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, ametembelea Shule ya Awali na Msingi Kwa Sadala wilayani Hai mkoani Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani ya CCM. ________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #MtumishiWaWote.

alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine