Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


πŸ”°π€π’π€ππ“π„ππˆ 𝐒𝐀𝐍𝐀 π–π€ππ€ππ‚π‡πˆ 𝐖𝐀 πŠπˆπ‹πˆπŒπ€ππ‰π€π‘πŽ!

alternative

Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, tunatoa shukrani za dhati kwa wananchi wote wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa mapokezi makubwa, ushiriki wa hali ya juu na ari kubwa mliyoionesha katika mikutano na shughuli mbalimbali za chama. Mwitikio wenu umeonyesha imani kubwa mliyonayo kwa CCM na uongozi wake katika kusimamia maendeleo ya wananchi. Tunawapongeza kwa kuendelea kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ambayo imeendelea kuleta mafanikio katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, miundombinu, maji, nishati na huduma za kijamii. Maendeleo yanayoonekana leo ni ushahidi wa ushirikiano mzuri kati ya serikali na wananchi. CCM itaendelea kusimama imara kuhakikisha ahadi zote zinazotolewa kwa wananchi zinatekelezwa kwa vitendo, huku ikiendeleza misingi ya amani, umoja na maendeleo. Asanteni Kilimanjaro kwa kuendelea kuwa sehemu ya safari ya maendeleo ya Taifa letu. MTUMISHI WA WOTE NDUGU KENANI LABAN KIHONGOSIπŸ™πŸ» _______________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini!

alternative
Habari Nyingine