VIONGOZI NA WANACHAMA CHADEMA KILIMANJARO WATIMKIA CCM
KILIMANJARO: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kujivunia wanachama wapya kutoka katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika mkoa wa Kilimanjaro.
Wanachama hao wamepokelewa na Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla amepokea wanachama hao wapya akiwa katika mikutano ya hadhara aliyoifanya akiwa katika ziara yake ndani ya Wilaya mbili za Mkoa wa Kilimanjaro, Wilaya ya Moshi Mjini na Rombo.
Akiwa Moshi Mjini Makalla amepokea wanachama 23 wakiongozwa na Mwenyekiti wa Mtaa kutoka katika Kata ya Bondeni wilayani Hai, Dastan Kimaro.
Akifafanua sababu za kurudi CCM Kimaro amesema akiwa kama kiongozi amekuwa hapati ushirikiano kwani hakuwa na viongozi wa kutoka katika chama chake pia hakuwa na ilani aliyokuwa akiitekeleza kwa sababu sera anazotakiwa kuzitekeleza ni za Ilani ya CCM.
“Sikuona Ilani yoyite ya Chadema amabayo ilikuwa katika utekelezaji nikagundua kuwa sera zote ninazotakiwa kuzitekeleza ni cha chama za mapinduzi ndipo nilipoamua kurudi katika chama cha Mapinduzi,” amesema Kimaro.
Pia Makalla akiwa akizungumza na wananchi katika eneo la Tarakea wilayani Rombo amepokea makada wengine wa Chadema 15 wakidai kuikataa vikali kauli ya ‘No reform no election’ na kuamua kutimkia CCM
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025