MONGELLA AONGOZA MAZISHI YA KADA WA CCM JIJINI MWANZA
Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndg. John Mongella Leo Tarehe 22 Juni, 2025 ameongoza Mazishi ya Aliyekuwa Kada wa CCM, Mobutu Malima aliyefariki Dunia Tarehe 15 Juni, 2025, Jijini Dodoma, kwa Maradhi ya Shinikizo la Damu, hadi umauti unamfika Marehemu Malima alikuwa Mtumishi wa CCM Makao Makuu jijini Dodoma, na katika utumishi wake alishika nyadhifa Mbalimbali ndani ya Chama ikiwa ni pamoja na kutumikia nafasi ya Katibu wa CCM katika Mikoa tofauti tofauti.
Katika Mazishi hayo Mongella aliambatana pia na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Wajumbe wa Halmashauri Kuu, Wenyeviti wa Mikoa na Makatibu wa Mikoa Mbalimbali, pamoja na Wanachama wa CCM.
Mungu ametoa na Mungu Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe
UZINDUZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA
03-03-2026
CCM YAIPA POLE MSUMBIJI KWA KUKUMBWA NA MAFURIKO
03-03-2026
INJINI YA CHAMA CHA MAPINDUZI IPO MASHINANI; DKT.MIGIRO
03-03-2026
DK.MIGIRO:CCM INAJENGWA KUANZIA NGAZI YA MASHINA SIO MAJUKWAANI.
03-03-2026
πππ¦πππ‘ππ’ πππ πππ§. π ππππ₯π’ ππππ£π’πππππͺπ ππͺπ π¦πππ‘ππͺπ πππ₯ ππ¦ π¦πππππ
03-03-2026
NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA AMWAKILISHA KATIBU MKUU WA CCM KWENYE MSIBA WA MBUNGE WA JIMBO LA PERAMIHO
03-03-2026
π©ππππ‘π π§π¨ππππ‘ππ ππ ππ‘π π¬π π‘πππ π¬ππ§π¨ - π πͺππ‘πππ πππ‘ππ‘π
03-03-2026
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
03-03-2026
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
03-03-2026
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
03-03-2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
03-03-2026
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
03-03-2026
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
03-03-2026
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
03-03-2026
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
03-03-2026
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
03-03-2026
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
03-03-2026
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
03-03-2026
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
03-03-2026
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
03-03-2026