DR MWINYI AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inajivunia ushirikiano wake na Wadau wa Maendelo likiwemo Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Elimu na Watoto diniani, (UNICEF).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi alisema hayo Ikulu, Zanzibar alipozungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNICEF, Tanzania Bi. Shalini Bahuguna aliefika kwaajili ya kumuaga baada ya kumaliza kwa muda wake wa utumishi kwenye shirika hilo.
Dk. Mwinyi alisema, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na timu nzima ya UNICEF, Tanzania kupitia ushirikiano wake kwani wako bega kwa bega katika kuimarisha masuala yanayohusu ustawi wa watoto nchini.
“UNICEF imefanya makubwa Tanzania hususani ushirikiano wake wa karibu katika kuiungamkono Serikali yetu kwenye masuala mbalimbali ya maendeleo, wamefanya mengi siwezi kuyaonesha maeneo yote sababu ni mengi mno.” alifafanua Rais Dk. Mwinyi.
Pia Dk. Mwinyi, alimpongeza Bi. Shalini kwa jitihada zake, kwa kipindi chote alichofanyakazi na UNICEF hapa nchini akieleza mchango mkubwa walioutoa kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hasa katika miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na shirika hilo katika kuiunga mkono SMZ.
Dk. Mwinyi alimweleza Mwakilishi huyo kwamba, daima Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kulishukuru Shirika la UNICEF kwa kuiunga mkono Zanzibar kwenye masuala ya Afya na Elimu.
Akizungumza kwenye hafla hiyo, Bi. Shalini alimpongeza Rais Dk. Mwinyi kwa uongozi wake hasa katika kuzisimamia vema rasilimali za Zanzibar kwenye ujenzi wa maendeleo ya Wazanzibari wa maeneo yote ya Unguja na Pemba.
Alimsifu Dk. Mwinyi kuwa Kiongozi wa mfano hasa kwa kukinawirisha kimaendeleo Kisiwa cha Pemba na mageuzi makubwa aliyofanya kwenye sekta za afya na Elimu Zanzibar.
Vilevile bi Bi. Shalini ameisifu za Zanzibar kwa kufanikiwa kutekeleza malengo ya Mileniam kwani imefanikiwa kwenye suala zima la kudumisha usafiwa mazingira kwa maeneo mengi ya miji.
Akizungumzia mafanikio katika ustawi wa masuala ya watoto, Mwakilishi huyo wa UNICEF aliipongeza Serikali ya Dk. Mwinyi na kueleza kuwa Zanzibar imefanikiwa kwa asilimia 75 kuwarejesha skuli watoto wengi walioacha masomo kwa mazingira tofauti waliyokumbana nayo kwenye makuzi yao.
UNICEF ni Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) lililoanzishwa tangu mwaka 1946 New York, Marekani, linashughulika na masuala ya Elimu na Watoto duniani, linafanyakazi kwenye maeneo zaidi ya 190 duniani kote, katika kuwafikia watoto na vijana walio kwenye matatizo kutokana na majanga mbalimbali kwa kuboresha chanjo kwa watoto na kutoa lishe bora katika kuimarisha huduma za dharura mbali na mambo mengine yanayowahusu watoto.

RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
20-11-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
20-11-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
20-11-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
20-11-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
20-11-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
20-11-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
20-11-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
20-11-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
20-11-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
20-11-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
20-11-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
20-11-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
20-11-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
20-11-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
20-11-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
20-11-2025
TAARIFA KWA UMMA
20-11-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
20-11-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
20-11-2025
MONGELLA AONGOZA MAZISHI YA KADA WA CCM JIJINI MWANZA
20-11-2025