ππ¨π¦ππ‘π π¨π‘ππ¨ππ π¬πππ§πππ π ππ¨π§ππ‘π’ πͺπ π πͺππ‘πππ π ππππππ
Matukio picha ni Wananchi pamoja na Wanachama waliofurika katika viwanja vya Bungi Mkoa wa Kusini Unguja kumsikiliza katibu wa NEC Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla wakati akizungumza.
Mwenezi CPA Makalla yupo katika Visiwa vya Zanzibar katika ziara ya kikazi ya Mikoa sita ya Kichama na tayari amefanya Mikoa Minne.