Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐍𝐈 𝐌𝐒𝐈𝐍𝐆𝐈 𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐎: 𝐊𝐈𝐇𝐎𝐍𝐆𝐎𝐒𝐈

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, amewahimiza wananchi kuendelea kuilinda na kuitunza amani ya nchi, akisisitiza kuwa maendeleo ya wananchi na ustawi wa Taifa hujengwa juu ya msingi wa amani, umoja na mshikamano. Akizungumza katika mkutano wa Shina Namba 10, Kata ya Ruaha Mbuyuni, Wilaya ya Kilolo, Kihongosi amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa na watu wanaotaka kuvuruga utulivu wa nchi, bali waendelee kushirikiana na viongozi wao katika kuharakisha maendeleo na ustawi wa jamii. CCM itaendelea kusimamia na kuimarisha tunu za amani, umoja na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania wote. 📍 Ruaha Mbuyuni, Kilolo|Iringa 18 Juni, 2026 Tembelea: www.ccm.or.tz __________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #Iringa

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine