Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐈𝐑𝐈𝐍𝐆𝐀 𝐓𝐔𝐍𝐀𝐊𝐔𝐉𝐀𝐀𝐀, 𝐓𝐔𝐍𝐀𝐀𝐍𝐙𝐈𝐀 𝐑𝐔𝐀𝐇𝐀 𝐌𝐁𝐔𝐘𝐔𝐍𝐈!

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, anaanza rasmi ziara yake ya kikazi Mkoa wa Iringa kwa kuanzia Ruaha Mbuyuni. Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhai wa Chama, kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM na kusikiliza maoni pamoja na changamoto za wananchi. Iringa mpo tayarii? Ruaha Mbuyuni tunaanza safari! 📍 Ruaha Mbuyuni, Iringa 18 Juni, 2026 Tembelea: www.ccm.or.tz _______ #KaziNaUtuTunasongaMbele #MtumishiWaWote #CCMIpoKazini

alternative
Habari Nyingine