Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


KIPINDI MAALUMU

alternative

𝐔𝐒𝐈𝐊𝐎𝐒𝐄! Fuatilia kipindi maalum cha makala ya ziara ya Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, katika mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha. 🗓 Jumapili, 07 Juni 2026 🕗 Saa 2:00 Usiku 📺 Kupitia Channel Ten Usikose kuona matukio mbalimbali, ujumbe kwa wananchi na shughuli zilizotekelezwa katika mwendelezo wa ziara hiyo. Tembelea: www.ccm.or.tz _____________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #MtumishiWaWote #ChannelTen

alternative
Habari Nyingine