Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐑𝐀𝐁𝐈𝐀: 𝐃𝐊𝐓. 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐒𝐔𝐋𝐔𝐇𝐔 𝐇𝐀𝐒𝐒𝐀𝐍 𝐍𝐈 𝐌𝐓𝐄𝐊𝐄𝐋𝐄𝐙𝐀𝐉𝐈 𝐌𝐀𝐇𝐈𝐑𝐈 𝐖𝐀 𝐀𝐇𝐀𝐃𝐈 𝐙𝐀 𝐂𝐂𝐌

alternative

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Abdalla Hamid, amesema Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuonyesha umahiri mkubwa katika utekelezaji wa Ilani ya CCM na kushughulikia changamoto zinazowagusa wananchi. Akihitimisha ziara yake mkoani Njombe, Ndugu Rabia amewahimiza Watanzania kuendelea kumuombea, kumlinda na kumuunga mkono Dkt. Samia Suluhu Hassan katika juhudi zake za kuwaletea wananchi maendeleo na ustawi. Amesema dhamira ya Dkt. Samia ni kuona Tanzania inaendelea kusonga mbele kwa maendeleo, umoja na ustawi wa wananchi wake. Njombe, Tanzania 18 Juni, 2026 Tembelea: www.ccm.or.tz _______ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMTabasamuLaKilaMtanzania #CCMIpoKazini

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine