Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐍𝐀𝐈𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐌𝐏𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐆𝐎𝐌𝐀!

alternative

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR Tabora-Kigoma, ambapo zaidi ya shilingi trilioni 6 zimeelekezwa katika mradi huo muhimu wa kimkakati. Leo, 20 Julai, 2026, Mhe. Rais ataongoza uzinduzi na uwekaji wa jiwe la msingi wa mradi huo katika eneo la Katosho, Kigoma. Kazi na Utu, Tunasonga Mbele. Tembelea: www.ccm.or.tz __________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #TanzaniaKwanza

alternative
Habari Nyingine