Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


🎉 𝐇𝐄𝐑𝐈 𝐘𝐀 𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐙𝐀𝐋𝐈𝐖𝐀, 𝐃𝐊𝐓. 𝐀𝐒𝐇𝐀-𝐑𝐎𝐒𝐄 𝐌𝐈𝐆𝐈𝐑𝐎! 🔰

alternative

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakupongeza wewe, Mhe. Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, Katibu Mkuu wa CCM, kwa kutimiza miaka 70 ya kuzaliwa. Tunathamini uzalendo wako na mchango wako mkubwa katika kuimarisha Chama na kulitumikia Taifa. Mwenyezi Mungu akujaalie afya njema, hekima na maisha marefu. Tembelea: www.ccm.or.tz __________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #HappyBirthday #AshaRoseMigiro

alternative
Habari Nyingine