Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐈𝐑𝐈𝐍𝐆𝐀 𝐌𝐉𝐈𝐍𝐈 𝐘𝐀𝐌𝐏𝐀 𝐊𝐄𝐍𝐀𝐍𝐈 𝐌𝐀𝐏𝐎𝐊𝐄𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐇𝐈𝐒𝐓𝐎𝐑𝐈𝐀

alternative

Mitaa ya Iringa Mjini ilifurika wananchi, wanachama na wapenzi wa CCM waliojitokeza kwa wingi kumpokea Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, katika ziara yake ya kikazi mkoani Iringa. Mapokezi hayo makubwa yameakisi imani kubwa ya wananchi kwa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hamasa, nderemo na vifijo vilitawala katika maeneo mbalimbali ya mji huku wananchi wakionesha mshikamano wao na chama chao. Kwa wananchi wa Iringa, mapokezi hayo hayakuwa tu ya kumpokea kiongozi wa Chama, bali yalikuwa ishara ya kuthamini kazi kubwa inayofanywa na CCM katika kuwaletea maendeleo na kuboresha maisha ya Watanzania. MTUMISHI WA WOTE 🙏 Tembelea: www.ccm.or.tz _____________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #Mtumishiwawote #CCMIpoKazini

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine