Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


🔰 CCM NA ACT-WAZALENDO WASAINI MARIDHIANO YA PAMOJA YA KISIASA ZANZIBAR

alternative

Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo tarehe 9 Julai 2026 wamesaini Waraka wa Pamoja wa Maridhiano ya Kisiasa, wenye lengo la kuimarisha maelewano, mshikamano na kutafuta suluhu ya changamoto za kisiasa zilizojitokeza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar. Hatua hiyo ni sehemu ya mchakato wa mazungumzo ya maridhiano unaolenga kujenga uhusiano bora wa kisiasa na kuweka mazingira ya ustawi wa wananchi wa Zanzibar na Taifa kwa ujumla. Waraka huo uliwasilishwa na Katibu wa Kamati ya Maridhiano ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi, Ndugu Mansura Mosi Kassim, ukiwa ni hatua muhimu katika mchakato unaoendelea baina ya pande hizo mbili. Tembelea: www.ccm.or.tz _______ #Maridhiano #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine