Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


🔰𝐇𝐄𝐑𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐀𝐃𝐇𝐈𝐌𝐈𝐒𝐇𝐎 𝐘𝐀 𝐒𝐀𝐁𝐀 𝐒𝐀𝐁𝐀 𝟐𝟎𝟐𝟔!

alternative

Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kinawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya Saba Saba. Tuendelee kusherehekea kwa amani, umoja na ari ya kazi kwa maendeleo ya Taifa letu. Tembelea: www.ccm.or.tz _________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #TanzaniaKwanza #SabaSaba2026

alternative
Habari Nyingine