Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐊𝐈𝐋𝐎𝐋𝐎, 𝐙𝐀𝐌𝐔 𝐘𝐄𝐍𝐔 𝐍𝐈 𝐋𝐄𝐎!

alternative

Wananchi wa Wilaya ya Kilolo leo wanapata fursa ya kukutana na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, katika mwendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Iringa yenye lengo la kusikiliza wananchi, kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM na kuharakisha utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi, huku CCM ikiendelea kusimamia maendeleo yenye matokeo na kuwa karibu na wananchi kwa vitendo. Tembelea: www.ccm.or.tz ______ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #MtumishiWaWote #Kilolo

alternative
Habari Nyingine