Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


🚆 𝐓𝐔𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐄 𝐊𝐈𝐆𝐎𝐌𝐀!

alternative

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo 20 Julai, 2026, ataongoza uzinduzi na uwekaji wa jiwe la msingi wa ujenzi wa reli ya SGR Tabora-Kigoma, hatua muhimu katika kuimarisha miundombinu na kuchochea maendeleo ya Taifa. Kazi na Utu, Tunasonga Mbele. Tembelea: www.ccm.or.tz ________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #TanzaniaKwanza

alternative
Habari Nyingine