Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


🔰𝐍𝐀𝐈𝐁𝐔 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐁𝐔 𝐌𝐊𝐔𝐔 𝐖𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐁𝐀𝐑𝐀 𝐀𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈 𝐊𝐈𝐊𝐀𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐇𝐀𝐋𝐌𝐀𝐒𝐇𝐀𝐔𝐑𝐈 𝐊𝐔𝐔 𝐘𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐌𝐊𝐎𝐀 𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐙𝐀

alternative

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Ndugu John Mongella, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Mwanza, alishiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mwanza kilichofanyika tarehe 06 Julai, 2026 katika Ukumbi wa BOT, jijini Mwanza. Kikao hicho kilihudhuriwa na viongozi wa Chama na Serikali kutoka Mkoa wa Mwanza kwa lengo la kujadili utekelezaji wa shughuli za Chama, kutathmini maendeleo ya Mkoa na kuweka mikakati ya kuendelea kuimarisha uhai wa CCM. Tembelea: www.ccm.or.tz _______________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #Mwanza

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine