Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐙𝐈𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐁𝐔 𝐖𝐀 𝐍𝐄𝐂, 𝐈𝐓𝐈𝐊𝐀𝐃𝐈, 𝐔𝐄𝐍𝐄𝐙𝐈 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐎 𝐖𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Iringa kuanzia tarehe 18 hadi 21 Juni, 2026. 🗓️ 18 Juni - Ruaha Mbuyuni 🗓️ 19 Juni - Kilolo 🗓️ 20 Juni - Iringa Mjini 🗓️ 21 Juni - Mufindi Endelea kufuatilia taarifa na matukio mbalimbali ya ziara hiyo. Tembelea: www.ccm.or.tz ________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini

alternative
Habari Nyingine