Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


📢 𝐌𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐎 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐀𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, anatarajiwa kufanya mkutano na Waandishi wa Habari. 📍 Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC), Dodoma 📅 13 Juni, 2026 🕗 Saa 8:00 Mchana Waandishi wote wa Habari mnakaribishwa. Tembelea: www.ccm.or.tz ___________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #MtumishiWaWote #CCMIpoKazini

alternative
Habari Nyingine