Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐀𝐍𝐉𝐀𝐑𝐎, 𝐓𝐔𝐍𝐀𝐊𝐔𝐉𝐀

alternative

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Stephen Masatu Wasira, anatarajiwa kuanza ziara yake mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 04 hadi 08 Juni, 2026. Tembelea: www.ccm.or.tz --- #KazinaUtuTunasongaMbele #CCMImara #CCMIpoKazini #Kilimanjaro

alternative
Habari Nyingine