Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐊𝐈𝐇𝐎𝐍𝐆𝐎𝐒𝐈 𝐀𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐀 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐍𝐂𝐇𝐈 𝐇𝐀𝐍𝐀𝐍𝐆, 𝐀𝐒𝐈𝐊𝐈𝐋𝐈𝐙𝐀 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐓𝐀𝐓𝐔𝐀 𝐊𝐄𝐑𝐎 𝐙𝐀𝐎

alternative

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Laban Kihongosi, ameanza ziara yake mkoani Manyara kwa kutembelea mabalozi, kufanya vikao vya mashina, kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kufanya mkutano wa hadhara wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Wilaya ya Hanang. Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhai wa chama ngazi ya msingi na kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayowanufaisha wananchi. Ziara ya Kihongosi inaendelea kesho katika Wilaya ya Babati Mjini. _________ #KazinaUtuTunasongaMbele #KaziInaendelea #SikilizaTatuaKero

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine