Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐌𝐖𝐄𝐍𝐄𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐀𝐖𝐀𝐒𝐈𝐋𝐈 𝐖𝐈𝐋𝐀𝐘𝐀 𝐘𝐀 𝐒𝐈𝐌𝐀𝐍𝐉𝐈𝐑𝐎 𝐊𝐖𝐀 𝐙𝐈𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐊𝐀𝐙𝐈

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, amewasili Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara kwa ajili ya kuendelea na ziara yake ya kikazi ya kuimarisha chama na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM. Katika ziara hiyo, Kihongosi atakutana na wanachama na wananchi, kukagua shughuli za chama ngazi ya msingi pamoja na kusikiliza na kupokea changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi. Ziara hiyo ni sehemu ya juhudi za CCM za kuendelea kuwa karibu na wananchi na kusimamia utekelezaji wa majukumu ya chama na serikali kwa maendeleo ya wananchi. Tembelea: www.ccm.or.tz _______________ #KazinaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #KaziInaendelea #CCMImara

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine