Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐁𝐀𝐁𝐀𝐓𝐈 𝐌𝐉𝐈𝐍𝐈 𝐋𝐄𝐎 𝐓𝐔𝐍𝐀𝐈𝐅𝐔𝐍𝐈𝐊𝐀!!!

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Kenani Laban Kihongosi, anaendelea na ziara yake leo Juni 2, 2026 ndani ya Babati Mjini, mkoani Manyara. Ziara hiyo inalenga kuimarisha chama, kusikiliza wananchi, kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM pamoja na kupokea changamoto za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Wananchi wote mnakaribishwa kushiriki. Tembelea: www.ccm.or.tz ___________ #KazinaUtuTunasongaMbele #CCMImara #KaziInaendelea #MaendeleoKwaVitendo #CCMTaifa

alternative
Habari Nyingine