Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐀𝐑𝐔𝐌𝐄𝐑𝐔, 𝐌𝐖𝐄𝐍𝐄𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐀𝐍𝐀𝐊𝐔𝐉𝐀!

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, anatarajiwa kuendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Arusha kwa kutembelea Wilaya ya Arumeru Kesho tarehe 05 Juni, 2026. Wanachama wa CCM na wananchi wote wa Arumeru mnakaribishwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za ziara hiyo. MTUMISHI WA WOTE _________ #KazinaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #KaziInaendelea #Arusha

alternative
Habari Nyingine