Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐌𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐃𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐄𝐍𝐄𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐖𝐈𝐋𝐀𝐘𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐀𝐑𝐀𝐓𝐔 - 𝐌𝐊𝐎𝐀 𝐖𝐀 𝐀𝐑𝐔𝐒𝐇𝐀

alternative

Wananchi wa Wilaya ya Karatu leo wamejitokeza kushiriki katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani Arusha. Ziara hiyo inaendelea kuimarisha mawasiliano kati ya Chama na wananchi pamoja na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM na maendeleo yanayotekelezwa katika maeneo mbalimbali. Ziara inaendelea kesho Wilaya ya Arumeru. MTUMISHI WA WOTE Tembelea: www.ccm.or.tz _________________ #KazinaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #KaziInaendelea #Arusha

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine