Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐌𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐎 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐀𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, atafanya mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika: 📍 Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC), Dodoma 📅 Alhamisi, 11 Juni 2026 🕗 Saa 8:00 Mchana Waandishi wote wa Habari mnakaribishwa kuhudhuria. Tembelea: www.ccm.or.tz ____________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #MtumishiWaWote #CCMIpoKazini

alternative alternative
Habari Nyingine