Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


📢 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐈𝐅𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐒𝐎𝐆𝐄𝐙𝐖𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐎 𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐀𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈

alternative

Mkutano wa Waandishi wa Habari wa Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, uliokuwa ufanyike tarehe 11 Juni, 2026, umesogezwa mbele na sasa utafanyika tarehe 13 Juni, 2026. Tembelea: www.ccm.or.tz ______________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #MtumishiWaWote #CCMIpoKazini

alternative
Habari Nyingine