Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


📊 𝐕𝐈𝐏𝐀𝐔𝐌𝐁𝐄𝐋𝐄 𝐕𝐘𝐀 𝐁𝐀𝐉𝐄𝐓𝐈 𝐊𝐔𝐔 𝐘𝐀 𝐒𝐄𝐑𝐈𝐊𝐀𝐋𝐈 𝟐𝟎𝟐𝟔/𝟐𝟎𝟐𝟕

alternative

Bajeti ya mwaka 2026/2027 imejikita katika kuharakisha maendeleo ya wananchi kupitia uhuishaji wa uchumi wa vijijini, mageuzi ya sekta ya kilimo, uwekezaji katika huduma za jamii na hatua maalumu za kuinua uchumi wa mikoa iliyo nyuma zaidi. ➡️ Slide kuona zaidi. Tembelea: www.ccm.or.tz ____________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini

alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine