Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐂𝐂𝐌 𝐘𝐀𝐇𝐈𝐌𝐈𝐙𝐀 𝐒𝐈𝐀𝐒𝐀 𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐒𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁𝐔 𝐊𝐔𝐋𝐈𝐍𝐃𝐀 𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐋𝐈𝐕𝐔 𝐖𝐀 𝐍𝐂𝐇𝐈

alternative

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amepokelewa rasmi katika Ofisi za CCM Mkoa wa Mtwara kuanza ziara ya mazungumzo na makundi mbalimbali ya kijamii. Makundi hayo ni pamoja na wakulima, wafugaji, wavuvi, wanavyuo, walimu, mama lishe na baba lishe, vyama vya ushirika, maafisa usafirishaji pamoja na vikundi vya ujasiriamali. Katika mazungumzo yake, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza siasa za kistaarabu miongoni mwa vyama vya siasa ili kuimarisha amani, mshikamano na taswira nzuri ya taifa. Pia amehimiza uzalendo na mshikamano wa kitaifa kama msingi muhimu wa maendeleo ya Tanzania. Ziara hiyo inaendelea kwa lengo la kusikiliza changamoto na maoni ya wananchi kutoka makundi mbalimbali ya kijamii. Tembelea: www.ccm.or.tz _______ #KaziNaUtuTunasongaMbele #TabasamuKwaKilaMtanzania #CCMIpokazini!

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine