WASIRA: MARUFUKU KUWATOZA FEDHA WANAOKWENDA KUJIFUNGUA HOSPITALINI
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepiga marufuku wajawazito wanaokwenda kujifungua hospitalini kutozwa fedha kwani huduma ya kujifungua ni bure na maelekezo tayari yalishatolewa.
Akizungumza mbele ya wananchi wa Mlowo katika Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe akiwa katika ziara yake ya kikazi Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Stephen Wasira amesema sera ya CCM inaeleza wazi huduma ya kujifungua pamoja na watoto wenye umri kuanzia mwaka 0-5 hawatatozwa fedha ,hivyo ni marufuku kuwatoza fedha.
Akiwa katika eneo hilo Wasira alipokea kero za wananchi hao wakidai wanawake wajawazito wanapokwenda kujifungua wanatakiwa kulipa fedha Sh.300,000 ili kupata huduma ya kujifungua hali iliyomshangaza na kutoa maelekezo ya kupiga marufuku huduma ya kujifungua kutozwa fedha.
“Sera ya CCM iko wazi kabisa kuwa hairuhusiwi mama mjamzito anapokwenda kujifungua kulipa fedha ili apate huduma,hivyo wale ambao wanapisha sera hii waache mara moja na hii ni kwa maeneo yote ambayo wanaendelea kupindisha utaratibu uliopo kwa kuchukua fedha.
“Watoto ni baraka na wala sio dhambi,kwanini mama anapokwenda kujifungua atoe fedha,nitoe maelekezo kwa wenyeviti wa Chama Wilaya na Mkoa kufuatilia haya yanayosemwa kama ni kweli, tuchukue hatua na nisisitize huduma ya kujifungua ni bure.”
Wasira amesisitiza suala la kina mama kujifungua bila malipo mi sera ya CCM na hiyo haina mjadala wala haina tarehe ya kuanza maana tarehe ya kuanza ilishapita nyuma.
"Kuna mambo mawili, kwanza tunataka kinamama wote wajifungue bila masharti yoyote la pili tunataka watoto wadogo kuanzia mwaka sulfuric hadi miaka mitano wapate huduma bure, kwa hiyo wale ambao wanatoza hela...kujifungua sio adhabu kama ingekuwa adhabu sote tusingezaliwa.
"Kwa sababu jambo hili ni la CCM tunaagiza uongozi wa mkoa wa Songwe na kila mahali kuhakikisha watoto na akinamama wanaokwenda kujifungua wanapewa heshima wannayostahili na hawaliposhwi fedha," amesema.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025