UVCCM MKOA WA GEITA WAJIPANGA KUSHIRIKI VYEMA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA NA VIJIJI.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM),Mkoa wa Geita ,Manjale Magombe , amemuhakikishia ushindi Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Rehema Sombi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa,vijiji pamoja na vitongoji ni kutokana na hatua kubwa za kimaendeleo ambazo zimefanywa na Rais Samia Suluhu Hassan .
Manjale ameyasema hayo wakati wa shughuli za ufunguzi wa kambi za mafunzo kwa vijana wa CCM ambayo yanafanyika kwenye Kata ya Namonge Wilayani Bukombe Mkoani Geita.
Amesema wanaamini wanaenda kwenye uchaguzu mkuu wa serikali za mitaa,vijiji na vitongoji wakiwa na imani kwamba hakuna ambacho watapoteza kutokana na hatua kubwa za kimaendeleo ambazo tayari zimekwisha kufanywa kwenye maeneo mbalimbali yaliyomo ndani ya mkoa wa Geita.
“Leo Mhe Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa utazindua kambi rasmi ya mafunzo kwa vijana wa CCM,mafunzo ambayo yamelenga kuwafundisha vijana kuijua historia ya Chama,Lakini pia watajifunza maadili mema ya uongozi ndani ya chama tunataka tunapokwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wawe wameiva kwaajili ya kwenda kunadi sera za chama chetu pamoja na utekelezaji wa Ilani”Amesema Manjale Magambo.
Manjale ameongeza ndani ya Chama hicho kumekuwepo na watu ambao wamekuwa wakikichafua chama cha Mapinduzi(CCM) na kumchafua Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri za kimaendeleo ambazo amezifanya na kwamba wao kama vijana hawapo tayari kuona watu wanaendelea na uzalilishaji wa namna hiyo kwa viongozi na chama.
“Kuna wahuni baadhi wameingia kukivuruga chama chetu na sisi umoja wa vijana tumejitolea kucheza nao sahani moja ,hawa wahuni ambao wanajifanya wametumwa na Rais Samia tunawaambia waache mara moja kumchafua Rais wetu na Geita nenda kamwambie kawaida tutakuwa na oparesheni hivi karibuni ya kuwaondoa wahuni ndani ya Chama chetu,hatuwezi kuhishi na wahuni Samia ameshamaliza kila kitu mtu unakuja unasema unafanya tathimini ya uchaguzi chama kinautaratibu wake,hawa wahuni na wageni ndani ya chama hatutaki kuwasikia” Amesema Manjale Magambo.
Aidha Manjale amewataka vijana wenye uwezo wa kuongoza kujitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali kwenye chaguzi ambazo zinakuja.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025