KUTOKA WILAYA YA MPWAMPWA, MKOANI DODOMA.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Dodoma Ndugu Lailah Burhan Ngozi (MCC) , ameendelea na ziara ya Kujitambulisha na Kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025, Kutembelea Mashina na kufanya Mikutano ya ndani.
Aidha Ndugu Lailah Burhan Ngozi ambaye pia ni Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma amewaeleza wanachama wa Chama Cha Mapinduzi ukiwa ni muendelezo wa ziara yake Wilayani Mpwampwa kuwa Miradi mbalimbali inayotekelezwa ni pamoja na Miradi wa Miundombinu ya Barabara, Elimu, Afya na Miradi ya Kijamii.
Pamoja na hayo, Ndugu Lailah Burhan Ngozi (MCC), ameupongeza Uongozi wa CCM wilaya ya Mpwapwa kwa kuweza kuondoa makundi yaliyojiyokeza wakati wa Chaguzi zilizopita
Mwisho, Wananchi na Wanachama wamepongeza Ziara ya Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma, wamesema Ziara ya Mlezi imechangia kuleta matumaini ya utatuzi wa upatikanaji wa huduma ya Maji na Salama kwa Wakaazi wa Kata ya Mazae ambayo yamekosekana kwa muda mrefu.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025