Waumini wa dini ya Kiislamu na wazanzibari kwa ujumla wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwaombea dua viongozi wakuu wa nchi ili waweze kuleta maendeleo na kuyatekeleza kwa vitendo yale yote waliyoyaahidi kwa wananchi wao
Hayo yamesemwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla wakati akiwasalimia waumini wa Masjid SUNNI HANAFII MKUNAZINI mara baada ya kumaliza Ibada ya Sala ya Ijumaa.
Amesema wazanzibari na waumini wa dini zote wana wajibu wa kuwaombea dua viongozi wakuu ili kuzidi kuwatelete maendeleo na kuwatekeleza mambo yote muhimu ambayo wananchi wanastahiki kupatiwa kutoka kwa viongozi wao kama vile anavyotekeleza kwa vitendo Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Hussein Ali Mwinyi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amesema kuwa kila mzanzibar na mtanzania anahitaji maendeleo kwenye sekta zote zikiwemo barabara,maji safi na salama,afya na mengineyo jambo ambalo ndio dira ya viongozi wakuu kuwarahisishia wananchi wake wa kupata kila wanachokihitaji kwa ubora na kwa wakati.
Alhajj Hemed amesema serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Mwinyi ipo salama na viongozi wake wanafanya kazi kwa kushirikiana wakiwa na lengo la kuwaletea maendeleo wananchi wake kupitia sekta zikiwemo barabara, maji safi na salama ,elimu na mengineyo bila ya ubaguzi wa aina yoyote kwa faida ya vizazi vya sasa na baadae.
Sambamba na hayo Alhajj Hemed amewataka wananchi wa Zanzibar na watanzania kwa ujumla kuendelea kuitunza na kudumisha amani na utulivu uliyopo nchini kwa kutambua kuwa amani ndio msingi wa maendeleo katika nchi yoyote duniani, hivyo ni lazima kuendelea kuitunza na kuilinda amani tulinayo ili kuweza kuwavutia wawekezaji kutoka nchi mbali mbali kuja kuekeza nchini.
Mapema akitoa Khutba katika Sala ya Ijumaa, Ustadh MAHSEIN WAHID amewataka waumini wa Dini ya Kiislam kushikamana katika kuitetea dini ya Allah (S.W) na kuirithisha kwa vizazi vyetu jambo ambalo litawasaidia kufikia lile lengo waliloletewa duniani la kumcha Mwenyezimungu.
Amesema kuwa suala la kuhimizana kufanya ibada na kuchuma chumo la halali ni wajibu wa kila muumin wa dini ya kiislamu, na kuwataka kutambua lengo la kuumbwa wanadamu ni kumcha Allah kwa kufuata mazuri yakiyofanywa na mtume Muhamad (S.A.W) ambayo yataongeza mapenzi baina yao.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025