CCM ISIHUSISHWE NA VURUGU ZA IGUNGA, CHADEMA IJITAFAKARI
KILIMANJARO: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kuwa hakihusiki na tukio la kuvamiwa kwa mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa ukifanyika Igunga hapo jana, kwani hawana sababu zozote za kushiriki tukio hilo.
Makalla ameeleza hayo leo Juni 10, 2025 wakati akizungumza na wannachi katika eneo la Himo Wilaya ya Mosho Vijinini mkoani Moshi akiendelea na ziara yake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
Makalla ameeleza hayo akijibu kilichoandikwa na Makama Mwenyekiti wa Chadema, John Heche kupitia katika mtandao wa kijamii wa X kuwa mkutano wao wamefanyiwa vurugu na vijana wa CCM, hivyo Makalla amesema wasihusishwe na tukio hilo kwani ni la kitoto.
“Leo walikuwa Igunga mkutano nafikiri wamefanyiwa vuruga nafizkiri na nyie mmeona kwenye vyombo vya habari lakini bila busara Makamu wao Mwenyekiti John Heche ameandika kwamba mkutano wetu vurugu hizi tumefanyiwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi,” amesema Makalla.
Pia Makalla amesema Chadema sio mshindani tena wa CCM kwa sababu wao hawashiriki uchaguzi, hivyo CCM haiwezi kuwa na maslahi yoyote na mkutano huo.
Makalla amewataka Chadema wafanye tafakuri ndani ya chama chao wasikimbilie kusema ni CCM badala yake wajitafakari.
Pia amesema CCM wanayokazi wanayoiendea ambayo ni kushiriki uchaguzi na kushinda kwa kishindo, hivyo wajitafakari wamalize migogoro yao binafsi ya ndani ya chama na kuacha kuwahusisha na tukio hilo.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025