Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla amezitaka Taasisi za Kifedha kufanya ushindani wa kibiashara kwa kutoa huduma bora na zaharaka ambazo zitapelekea kuaminika na kukubalika kwa Serikali na wateja wao.
Ameyasema hayo katika ftari Iliyoandaliwa na Benki ya CRDB iliyofanyika katika Ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege jijini Zanzibar.
Amesema kuwa Taasisi za kifedha nchini zina mchango mkubwa katika kuinua Uchumi waTaifa na kuchangia katika miradi mbali mbali yakimaendeleo inayoendelea kutekelezwa nchini sambamba na kuwasaidia wananchi mbali mbali katika kuhakikisha wanapata maslahi mazuri kwenye maisha yao.
Mhe. Hemed ameutaka uongozi wa Benki ya CRDB kuendelea kutoa misaada kwa makundi mbali mbali yenye uhitaji wakiwemo mayatima,wajane, walemavu na watu wasiojiweza kwani kufanya hivyo ni kuunga Mkono jitihada za Serikali za kuhakisha inawaletea maendeleo wananchi wake.
Aidha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amewahakikishia viongozi na wafanya kazi wa Benki ya CRDB kuwa Serikali ya awamu ya nane (8) itaendelaea kutoa ushirikiano na kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Mashirika na Taasisi za kifedha katika kukuza kipato cha mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.
Sambamba na hayo Mhe. Hemed amesema kuwa wakati umefika wa kuendana na kasi ya ushindani wa kibiashara kwa kutoa huduma zilizobora na kwa wakati ili kuwarahisishia wateja kupata huduma na kuongeza wateja zaidi pamoja na kulifikia soko la dunia.
Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Afisa Mkuu wa Biasharaoma BOMA RABALLA amesema uongozi wa benk hio utahakikisha unauendeleza utamaduni uliopo wa kuftari pamoja kati ya watendaji wa Benki na wateja wao , wadau na makundi mbali mbali ili kujiweka karibu na jamii.
Amesema CRDB inaamini kuwa kujumuika pamoja katika ftari hiyo na matukio mbali mbali ya kijamii ni kuwa karibu wateja wao sambamba na kuimarisha umoja, upendo na mshikamano baina yao.
RABALA amesema CRDB mbali na Ftari hio imeamua kutoa msaada kwa makundi maalum yenye uhitaji ikiwemo kituo cha kulelea watoto cha Amali kulichopo Kinuni na kituo cha zaso kutoka Fuoni Mambo Sasa na kusema kuwa wanaamini msaada huo utawasaidia hasa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Akitoa salamu za Ofisi ya Mufti Zanzibar sheikh Iddi Hussein Iddi kutoka Ofisi hio amewaasa waislamu kukithirisha ibada pamoja na kutoa sadaka na zaka kwa watu wasiojiweza hasa katika mwezi mtukufu wa Ramadhan ili kufikia lengo la kufunga, hivyo amesema Ramadhan ni chuo cha kujifunza Amali njema na kuzidisha kasi ya kufanya ibada na kusoma Qur-an kwa wingi kwa kutarajia kupata radhi za Allah (S.W)
NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA AMWAKILISHA KATIBU MKUU WA CCM KWENYE MSIBA WA MBUNGE WA JIMBO LA PERAMIHO
06-01-2026
π©ππππ‘π π§π¨ππππ‘ππ ππ ππ‘π π¬π π‘πππ π¬ππ§π¨ - π πͺππ‘πππ πππ‘ππ‘π
06-01-2026
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
06-01-2026
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
06-01-2026
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
06-01-2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
06-01-2026
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
06-01-2026
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
06-01-2026
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
06-01-2026
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
06-01-2026
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
06-01-2026
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
06-01-2026
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
06-01-2026
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
06-01-2026
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
06-01-2026
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
06-01-2026
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
06-01-2026
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
06-01-2026
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
06-01-2026
TAARIFA KWA UMMA
06-01-2026