VIKAO VYA CHAMA VIWE KAZI YA KUDUMU NA MSICHOKE - BALOZI DKT. NCHIMBI
> Awataka wanachama kuhamasishana kuhusu kujitokeza na kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa
" Chama chochote cha siasa ni wanachama na vikao, endeleeni na utaratibu wa kuitisha na kuitikia miito ya vikao vya kujenga chama chetu, vikao viwe kazi ya kudumu na msichoke...tukikutana mara kwa mara tutatambua kero za wananchi tunaowaongoza na kujadili maendeleo na mafanikio yetu "
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi wakati akizungumza na Mabalozi wa mashina, viongozi wa serikali, Taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali, viongozi wa dini, wazee na machifu Wilayani Mbeya Mjini.
Balozi Dkt. Nchimbi amewataka wananchama wote kuhamaishana katika kujiandaa za chaguzi za serikali za mitaa, Pia amekemea tabia ya viongozi kufanya majigambo na badala wachape kazi ambayo itawafanya kuzidi kupata sifa na kuaminika kwa wananchi na chama.
" Hamasishaneni kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, tuendelee kushiriki kwenye chaguzi na kila mwanachama atambue kuwa ana haki ya kugombea lakini aende na moyo safu wa kutaka kuwatumikia wenzake, utambue uongozi si ubwana mkubwa bali ni utumishi hivyo unatakiwa kuheshimikankwa tabia, maadili na uoendo ili upendwe na wenzako na kuaminiwa na sio kuogopwa "
" Kiongozi huwezi kumkuta anafanya majigambo ya kijinga...ooh unajua mimi ndio mwenyekiti wa tawi hapa wengine nyie ni wajumbe tuu...huo sio uongozi na wengine utawajua tu wasivyojiamini ndio maana kuna wakati unnakuta kiongozi anaingia kwenye kikao anasema mimi ndio mwenyekiti hapa haya tuanze kikao wakati wajumbe wake wote wanatambua kama yeye ni mwenyekiti, huko ni kutokujiamini "
"... anayesambaza maneno kutoka sehemu moja kwenda nyingine tena ya uongo huyo hatufai katika chama chetu na serikali yetu ..."
ποΈ17 Aprili, 2024
πJijini Mbeya
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025