RAIS SAMIA AMETOA FEDHA KUJENGA BARABARA SAME - KISIWANI - MKOMAZI
SAME MASHARIKI: SERIKALI imetoa jumla ya kiasi cha Sh bilioni 59 kwa ajili ya kutekeleza ujenzi wa barabara kutoka Same. -Kisiwani- Mkomazi yenye urefu wa kilometa 35.
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ameeleza hayo leo Juni 11, wakatika kuzungumza na wananchi kwenye mkutano uliofanyika katika Kata ya Ndungu Jimbo la Same Mashariki wilayani Same mkoani Kilimanjaro.
Makallaameeleza hayo akigusua taarifa ya Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anna Kilango Malecela iliyoainisha miradi ya mendeleo iliyotekelezwa katika jimbo hilo katika maeneo mbalimbali na ujenzibwa barabara hiyo ni sehemu ya miradi iliyopo katika utekelezaji.
“Changamoto ya barabara ya Same-Kisiwani moaka Mkomazi ambayo tulipokuja mwaka 2005 na haikutekelezwa ndani ya uongozi Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Sh bilioni 59 kilometa 35 inajengwa,” amesema Makalla.
Ameongeza kuwa ni kilometa 100 zinazohitajika kujengwa lakini zinajengwa kwa awamu na barabara hiyo imepigiwa kelele kwa miaka mingi ameipigia kelele ndani ya uongozi wa Rais Samia amemsikiia na kutoa fedha ujenzi umeanza
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025