Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla ameendelea kuwashukuru waumini wa dini ya kiislamu na wazanzibari kwa ujumla kwa kuendelea kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Nane (8) katika kuwaletea maendeleo wananchi wote
Ameyasema hayo alipokuwa akiwasalimia Waumini wa Masjid AL- SWAFAA uliopo Kikwajuni GONGONI mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa.
Alhajj Hemed amewashukuru wananchi kwa kuwa wavumilivu katika kipindi chote cha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo inayopita katika maeneo yao na kuwahakikishia kuwa Serikali ya Awamu ya Nane inayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. HUSSEIN ALI MWINYI imejipanga kuhakikisha inatatua changamoto zote zinazowakabili wananchi wa maeneo yote ya Zanzibar Mijini na Vijijini.
Aidha amesema kuwa kwa kuzingatia mahitaji ya wananchi wa Zanzibar Serikali imeamua kujenga miundombinu ya barabara za mijini na vijini sambamba na kuimarisha sekta ya elimu na Afya pamoja na nyenginezo kwa lengo la kuwaletea maendeleo wananchi wake bila ya ubaguzi wa aina yoyote.
Sambamba na hayo Alhajj Hemed amewataka wananchi wa Zanzibar kuendelea kuitunza tunu iliopo nchini ya Amani na Utulivu ambayo ndio chachu ya maendeleo ya Taifa pamoja na kuiweka nchi katika mikono salama siku hadi siku.
Mapema akitoa Khutba katika Sala ya Ijumaa, Maalim SULTWAN NASSOR SIMBA amewataka waumini wa dini ya Kiislam na Wazanzibari kwa ujumla kujitahidi kuchuma chumo la haalali katika mali zao jambo ambalo litapelekea kuweza kujipanga katika kufanya ibada ya Hijja kwa fedha za halali na kupata fadhila kutoka kwa Allah (S.W)
Aidha amewataka waumini kuzitumia vyema neema walizonazo ikiwemo mali zao katika kufanya amali njema na kufanya ibada kwa wingi katika miezi mitukufu ukiwemo mwezi wa ZUL-QAADA (Mfungo Pili) pamoja na kuwaombea dua wale wote ambao wanajiandaa na kwenda kufanya ibada ya hijja kwa mwaka huu wa 1445 Hijjiria.
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
12-11-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
12-11-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
12-11-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
12-11-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
12-11-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
12-11-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
12-11-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
12-11-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
12-11-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
12-11-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
12-11-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
12-11-2025
TAARIFA KWA UMMA
12-11-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
12-11-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
12-11-2025
MONGELLA AONGOZA MAZISHI YA KADA WA CCM JIJINI MWANZA
12-11-2025
ASIYETII SHERIA, KATIBA NA KUWA TAYARI KUUA KWA MASLAHI BINAFSI HUO NI UGAIDI’
12-11-2025
πππ π¬ππ¦ππ¦ππ§πππ πͺπππ’π πππ ππ¨πππππππͺπ ππͺπ ππ¨πππ‘πππ§ππ π¨πͺπππ’, π¨πππππ‘ππ’ π‘π π¨πππππππ¨, π¬ππππ ππ π πππ¨π‘ππ - πππ. πππ©π¨
12-11-2025
KAENI KIMYA KAMA HAMJUI NCHI ILIKOTOKA - WASIRA
12-11-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
12-11-2025