Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝗖𝗣𝗔 π— π—”π—žπ—”π—Ÿπ—Ÿπ—” 𝗔𝗭𝗨π—₯𝗨 π—žπ—”π—•π—¨π—₯π—œ π—Ÿπ—” 𝗠𝗔π—₯π—˜π—›π—˜π— π—¨ π——π—žπ—§ 𝗒𝗠𝗔π—₯ π—”π—Ÿπ—œ 𝗝𝗨𝗠𝗔 

alternative

Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa ndugu Amos Makalla leo tarehe 28 Januari 2025 akiwa katika Muendelezo wa ziara yake Mikoa 6 ya Zanzibar ametembelea kaburi la Dkt Omar Ali Juma aliyekuwa Makamu wa Rais wa kwanza baada ya Mfumo wa Vyama Vingi 1995 katika serikali ya awamu ya tatu kwenye Makaburi ya familia Kusini Pemba.

#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#TunaendeleaNaMama
#KaziIendelee

alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine