CCM CHINI YA MWENYEKITI DKT. SAMIA IMEENDELEA KUTUAMINI VIJANA, TUCHAPE KAZI TUSIMUANGUSHE - CDE. JOKATE
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Komredi. Jokate Mwegelo, amewataka vijana wote wanaoaminiwa na kupewa nafasi za uongozi ndani ya chama au serikali kufanya kazi kwa bidii na kwa ubunifu wa hali ya juu kwa manufaa ya Taifa kwa ujumla.
Komredii Jokate ameyasema hayo wakat akizungumza kwenye kikao na viongozi wa Chama na Jumuiya ya UVCCM Mkoa wa Iringa mara baada ya kuwasili na kupokea taarifa ya kazi ya UVCCM mkoani humo.
"Yatupasa wakati wote kutoa shukrani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinachoongozwa na Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kutuamini vijana hususani vijana wa kike na kutuamini katika kutupa nafasi za uongozi ndani ya chama na serikali yetu hivyo ni wajibu na ulazima kufanya kazi kwa bidii na ubunifu kwa manufaa ya chama, serikali na Taifa kwa ujumla"
Akiendelea kuzungumza na viongozi hao, Komredi Jokate amesisitiza juu ya Ushirikano katika kufanya kazi.
"Kikubwa kwetu ni ushirikiano wa kutosha na kufanya kazi kubwa kulingana na wajibu wetu katika kuhakikisha vijana wanapata fursa mbalimbali hususani kuwainua kiuchumi, kuendelea kuwasemea vema viongozi wetu wa chama na serikali na kuhakikisha CCM inaendelea kushika dola."
Aidha, Komredi Jokate amesema lengo kubwa la kuwasili mkoani Iringa ni mpango mkakati wa kuinua kituo cha Ihemi kuwa chachu na fursa zaidi kwa vijana.
"Tumekuja hapa kuangalia fursa za kuendeleza kituo chetu cha Ihemi na hivi karibuni tutakuwa na mafunzo kwa viongozi wetu wa wilaya nchi nzima."
"Tunataka kuimarisha kituo cha Ihemi na kwa namna tulivyojipanga tuna hakika tutaweza kufikia adhma hiyo."
"Niwasihi vijana wenzangu wa CCM , chama chetu kina namna na utartibu wake wa kuwasilisha majambo yetu na changamoto zetu hata za baina yetu ya sisi kwa sisi kupitia vikao na si kutumia njia zingine ambazo ni sawa na kuwa faida wapinzani kupata la kusemea, tuwe wazalendo, tupende chama na nchi yetu na tuwe na utulivu."
π21 Juni, 2024
πMkoani Iringa
MAPOKEZI YA KATIBU MWENEZI WA CCM NDUGU KENANI L KIHONGOSI MKOANI KILIMANJARO
29-05-2026
π° πππππππππ πππππππ πππ ππππππππ πππππππππππ
29-05-2026
CCM INAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA EID AL ADHA
29-05-2026
π°VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA VYAIMARISHA MSHIKAMANO, DKT. DIMWA AHITIMISHA MAFUNZO MAALUM
29-05-2026
KATIBU WA NEC, ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO CCM TAIFA NDUGU KENANI KIHONGOSI AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ISIMANI EMMANUELA KAGANDA MTATIFIKOLO
29-05-2026
MUENDELEZO WA MAFUNZO YA VIONGOZI KATIKA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE β KIBAHA
29-05-2026
SIKU YA KWANZA YA MAFUNZO KATIKA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE LEADERSHIP SCHOOL.
29-05-2026
UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VYAMA SITA RAFIKI VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA
29-05-2026
MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CPC, KOMREDI LIU HAIXING IKULU DAR ES SALAAM
29-05-2026
KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM
29-05-2026
CCM NA FRELIMO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
29-05-2026
UZINDUZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA
29-05-2026
CCM YAIPA POLE MSUMBIJI KWA KUKUMBWA NA MAFURIKO
29-05-2026
INJINI YA CHAMA CHA MAPINDUZI IPO MASHINANI; DKT.MIGIRO
29-05-2026
DK.MIGIRO:CCM INAJENGWA KUANZIA NGAZI YA MASHINA SIO MAJUKWAANI.
29-05-2026
πππ¦πππ‘ππ’ πππ πππ§. π ππππ₯π’ ππππ£π’πππππͺπ ππͺπ π¦πππ‘ππͺπ πππ₯ ππ¦ π¦πππππ
29-05-2026
NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA AMWAKILISHA KATIBU MKUU WA CCM KWENYE MSIBA WA MBUNGE WA JIMBO LA PERAMIHO
29-05-2026
π©ππππ‘π π§π¨ππππ‘ππ ππ ππ‘π π¬π π‘πππ π¬ππ§π¨ - π πͺππ‘πππ πππ‘ππ‘π
29-05-2026
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
29-05-2026
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
29-05-2026